A linn yaung biography books

  • A linn yaung biography books
  • A linn yaung biography books

  • A linn yaung biography books
  • A linn yaung biography books free
  • A linn yaung biography books amazon
  • A linn yaung biography books pdf
  • A linn yaung biography books list
  • A linn yaung biography books amazon...

    A Linn Yaung

    '


    Wai Yan Myint (maarufu kama A Linn Yaung; amezaliwa Mandalay, Myanmar, 22 Aprili1992[1]) ni mwigizaji, mwanamitindo na mwimbaji kutoka Myanmar (Burma).[2]

    Mnamo 2018 aliteuliwa kama mwigizaji bora kwenye tuzo ya Myanmar Academy kupitia filamu ya The Bride.[3]

    Maisha ya awali na elimu

    [hariri | hariri chanzo]

    A Linn Yaung alizaliwa na Maung Maung Myint na mkewe Thi Thi Swe.

    Yaung ni mtoto wa katikati ya ndugu watatu, akiwa na kaka na mdogo.

    Alihudhuria shule ya kimonaki akapata BA ya Kiingereza kutoka Chuo Kikuu cha Yadanabon mnamo 2011. Yaung pia ana diploma ya Kiingereza aliyoipata katika Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni, Mandalay.[4]

    Kazi

    [hariri | hariri chanzo]

    2008–2011: Mwanzo kama mwanamitindo

    Mwishoni mwa mwaka wa 2008, Yaung alianza kufanya kazi kama mwanamitindo katika Shirika la Talent & Model Mandalay, akishiriki katika vipindi vya maonyesho ya mitindo na pia kuchukua nafasi za uigizaji ka