Mwana fa biography templates
Student biography templates!
Mwana FA
Hamis Mohammed Mwinjuma, anayejulikana pia kama Mwana FA[1] ni mwanamuziki, mjumbe wa bodi ya Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA), na mwanasiasa[2] anayehudumu kama Mbunge wa jimbo la Muheza tangu Novemba2020.
Biography templates free
Anajulikana kwa nyimbo zake kama Endelea Tu na Unanijua Unainiskia[3].
Wasifu
[hariri | hariri chanzo]Hamis Mwinjuma alizaliwa Muheza, Tanga, Tanzania. Mwaka 2016 alifunga ndoa na Bi Helga Mwinjuma wakafanikiwa kupata watoto wawili.
Mwinjuma na familia yake wanaishi jijini Dar es Salaam, Tanzania[4].
Mwana fa biography templates
Elimu
[hariri | hariri chanzo]Mwana Fa alianza elimu yake ya msingi katika shule ya msingi ya Mdote huko Muheza.[5]. Alijiunga na chuo cha Dar es salaam Institute of Technology kwa ajili ya masomo yangazi ya juu.
Hata hivyo alikatiza masomo yake miezi minne tu baada ya udahili ili kujiunga na elimu ya upili katika shule ya sekondari ya Ununio Islamic akienda na mchepuo wa fizikia, kemia